Ninaandika kwa Kiswahili kwa mara ya kwanza
Swahili

Ninaandika kwa Kiswahili kwa mara ya kwanza

by

language learning
lifestyle
daily life
family

Baba na dada wangu ni wahandisi. Mama wangu ni muuguzi. Mimi ni mwalimu wa Kiingereza. Wanafunzi wangu hawapendi kucheza. Wapenda kusoma.

Ninazungumza Kiingereza, Kifaransa, Kihispania na ninajifunza Kireno na Kiswahili. Ninapenda Kiswahili.

6