- Mambo?
- Poa! Na wewe, habari yako?
- Mimi niko poa pia. Na familia yako, wanaendela aje?
- Salama, asante.
- Ninataka kuwambia, mimi na mama yangu tutasafari Kenya.
- Kweli? Mnaenda lini?
- Ndiyo! Tutaenda Januari. Tutasafiri Lamu, et badaaye tutaenda Nanyuki. Huko Nanyuki nitatembea kwa marafiki wangu.
- Nimefurahi kuskia hii. Nina swali.
- Ndiyo, sema?
- Unaweza kuleta vitu na familia yangu huko?
- Ndiyo, kwa furaha.
- Sawa, tutaongea siku hizi.
- Sawa.
- Kwaheri.
- Kwaheri.
3